28 May 2018
Read More
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinayofuraha kuutangazia umma wa watanzania na marafiki wa haki kote ulimwenguni uteuzi wa Bi
04 Jun 2018
Read More
LHRC intends to increase its ICT workforce by recruiting one Information Communication Technology (ICT) officer (volunteer) as det
08 Jun 2018
Read More
Wadau wa kupinga ukatili kwa wanawake na watoto wamesikitishwa na taarifa zilizowafikia kutoka kwa waangalizi wa haki za binadamu
12 Jun 2018
Read More
On June 16 every year Africans commemorates African Child Day since 1991 when it was initially passed by the then Organization of
12 Jun 2018
Read More
Juni 16 kila mwaka bara la Afrika huadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika tangu kuidhinishwa kwa siku hiyo na Umoja wa Afrika mwaka 19
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.
