Katika kufikia maono ya kupata jamii yenye haki na usawa, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimeendelea kufanya ufuatiliaji wa utendaji kazi wa serikali katika kipindi cha uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha na Kinondoni. Mnamo Februari 9, 2018 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kilipata kibali rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mwangalizi wa uchaguzi katika jimbo la Kinondoni pamoja na Siha.
Katika kutimiza jukumu hilo la kidemokrasia, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimefanya uangalizi tangu zilipoanza kampeni mnamo tarehe 25/01/2018 na wakati wa uchaguzi ambapo katika chaguzi hizo ndogo Chama cha Mapinduzi kilishinda. Hata hivyo Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu kimebaini masuala kadhaa ya ukiukwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa sheria na taratibu zinazoratibu chaguzi kama yalivyofafanuliwa:-
Your email address will not be published.
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.

2 COMMENTS FOUND
Advocate fungo Says:
March 3st ,2018 3:33 PMHELLO TO YOU ALL, YOUR REPORT ON "TAARIFA YA UANGALIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO JIMBO LA KINONDONI NA SIHA" SOME OF THE PAGES ARE MISSING ESPECCCIALLY PAGE NUMBER 4 AND NUMBER 2, KINDLY IF IT WAS NOT INTENDED TO BE SO, IT THE SHOULD BE CALLED FOR RECTIFICATION TO INCLUDE THE MISSED PAGES. THANKS
Ally kivia Says:
March 3nd ,2018 2:07 PMYan sasa ni wakati wakuwekea mikazi mambo yanayo tokea katika chaguzi hapa nchini, kweli waacheni wananchi wamchague wanaempenda sio kuwashinikiza kwanguvu kufanya vitu ambavyo Hawa vitaki, nyie kama haki za binadamu sasa ni wakati wakusaidia watu kupata haki zao za kidemocrasia